Friday, June 29, 2012

DOWNLOAD LINEX - AIFOLA IFOLA.


OMMY DIMPOZ NAE KUVUTA MKOKO WA BEI MBAYA.

Diamond & Ommy Dimpoz.
Mkali wa Bongo fleva Ommy Dimpoz ambaye sasa ameonyesha dhahiri kama anafuta nyao za Diamond baada ya wawili hawa kufuatana kila wanapoenda hadi kufikia kuvaa the same style.
Ommy aliyetoka na ngoma kali kama NaiNai na sasa akisumbua na hit ya Baadae yuko mbioni kuvuta mkoko aina

WEMA GANI ALIKUWA WEMA WAKO?


Hizi ni picha tofauti za mcheza filamu nyota wa kike Tanzania, Wema Abrahamu Sepetu kuanzia anashiriki shindano la Miss Dar Indian Ocean mwaka 2006, Miss Kinondoni, Miss

ROONEY, KAKA KUTUA GUANGZHOU YA CHINA, WATAKIWA KWA GHARAMA YOYOTE.


Kaka

Gossip logo

Tetesi za Ijumaa magazeti Ulaya

BABA WA DK. ULIMBOKA AANGUA KILIO MOI.

Baba wa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari, mzee Steven Mwaitenda.
picha zingine click read more.

PICHA 5 ZA DK. ULIMBOKA AKIWA ICU MUHIMBILI.


Thursday, June 28, 2012

PICHA 3 ZA ROONEY AKIWA NA MKEWE JIJINI LOS ANGELES, MAREKANI.

Ashley Cole akipita kuwasabahi kina Rooney katika hoteli hiyo.

BARCELONA YAPATA MBADALA WA ABIDAL.

Jordi Alba.
Klabu ya Barcelona imejipanga kujizatiti kwenye safu ya ulinzi msimu ujao baada ya kufanikiwa kupata mbadala wa aliyekuwa beki wa klabu hiyo Eric Abidal ambaye ni mgonjwa kwa kumsajili beki wa klabu ya Valencia Jordi Alba kwa mkataba wa miaka mitano. Katika taarifa za klabu hiyo ambazo zimetumwa katika mtandao wa kijamii wa twitter Alba mwenye miaka 23 ambaye kabla ya kwenda Valencia alikulia katika

BECKHAM ATEMWA KIKOSI CHA OLIMPIKI.

Beckham.
Kiungo wa kimataifa wa Uingereza ametemwa katika kikosi cha nchi hiyo kitakachoshiriki michuano ya Olimpiki itakayofanyika jijini London mwaka huu. Beckham mwenye ana umri wa miaka 37 amewahi kuwa nahodha wa nchi kipindicha nyuma na alikuwa akitaka nafasi katika kikosi hicho kitakahoshiriki olimpiki kabla ya kuamua kutundika daluga. Akihojiwa mara baada ya kutangazwa kwa kikosi hicho Beckham

E-Smart ft. Q.Chief - Let You Go {Official Video}

Juliana Kanyomozi - Omutima Oguluma (Official Video)

NGOMA MPYA YA BELLE 9 FT BEN POL - ANAYEISHI NAE.

Nas Tatu & Rich Boy a.k.a KingKapita - Mtoto Mlito (Official Video).

HUYU NDIYE KOCHA MPYA WA YANGA, ANAYETARAJIWA KUTUA DAR JUMAPILI.

Tom Saintfiet.
Kocha mpya wa Yanga kijana mwenye umri wa miaka 39, Tom Saintfiet (pichani juu) anatarajiwa kuwasili Dar es Salaam Jumapili, tayari kuanza kazi.
Habari za uhakika kutoka Yanga, zimesema kwamba huyo ndiye atarithi mikoba ya Mserbia Kosta Papic,

MUDDE ATUA, APEWA JEZI YA YONDAN.

Mussa Mudde.
Kiungo wa kimataifa wa Uganda, Mussa Mudde aliyesajiliwa na mabingwa wa soka Tanzania, Simba SC kutoka Sofapaka ya Kenya, amewasili mchana huu kujiunga na wenzake kuendelea na maandalizi ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, imeelezwa.

WAARABU KUMLIPA GYAN PAUNDI 140,000 KWA WIKI.

j
Asamoah Gyan.
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ghana na klabu ya Sunderland, Asamoah Gyan anatarajiwa kusaini mkataba wa kudumu wa miaka mitano na klabu ya Al Ain ya Falme za Kiarabu-UAE ambako alikuwa akicheza kwa mkopo ambapo atakua akilipwa paundi 140,000 kwa wiki na klabu hiyo. Kwa mujibu wa taarifa

50 CENT KUPIGA SHOW UGANDA MWEZI SEPTEMBER.

50 Cent.
Rapper Curtis Jackson aka 50 cent ambaye juzi alipata ajali ya gari nchini Marekani, anatarajiwa kupiga show mjini Kampala, Uganda, mwezi September mwaka huu.
Rapper huyo atatumbuiza katika maadhimisho ya miaka 50 tangu uhuru wa nchi hiyo.
Hii si mara ya kwanza kwa 50 kuja Afrika Mashariki. Alishaitembelea Kenya na Somalia akiwa na shirika la

BOB JUNIOR KUFUNGA NDOA BILLICANAS JULY MOSI.

Bob Junior.
Mwanamuziki na producer anayemiliki studio ya Sharobaro Records, Bob Junior aka Mr. Chocolate Flava, ameamua kufungua ndoa kwa style ya aina yake.
Amesema harusi yake itakayofanyika jumapili ya tarehe moja mwezi July mwaka huu, pamoja na kufanyika nyumbani itatinga ndani ya club ya Billicanas ambapo kila mtu anaruhusiwa kuhudhuria.

RIHANNA ANUSURIKA NA MOTO HOTELINI.

Rihannab
Rihanna.
Kikosi cha zima moto jijini London, Uingereza, kimesema mwanadada Rihanna ni miongoni mwa watu 300 waliotolewa kwenye moto ulioubuka mapema asubuhi jana kwenye lift ya hoteli hiyo.
Mwanamuziki huyo mwenye miaka 24, alitweet habari hiyo kwa wafuasi wake milioni 21 kwa kuweka picha ya gari la zimamoto na maneno yasemayo: “Roamin da streets since 6am! Fyah in da telly.”

JEMBE LA THE CRANES LATUA SIMBS SC LEO.

 
Mussa Mudde.
Kiungo wa kimataifa wa Uganda, Mussa Mudde aliyesajiliwa na mabingwa wa soka Tanzania, Simba SC kutoka Sofapaka ya Kenya, anatarajiwa kuwasili leo kujiunga na wenzake kuendelea na maandalizi ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, imeelezwa.
Ofisa Habari wa Simba SC, Ezekiel Kamwaga ‘Mr Liverpool’, mbali na Mudde kutarajiwa

CHELSEA YANASA BONGE LA KIFAA, AL SHABAB WAMKANA OWEN.



Rooney
Gossip logo

Tetesi za Alhamisi magazeti ya Ulaya

ROONEY AENDA KUTULIZA KICHWA MAREKANI NA MAMA WATOTO.

Mshambuliaji Wayne Rooney anaonekana kama mtu anayehitaji kutuliza kichwa chake, baada ya madongo aliyotupiwa na makocha wa sasa wa England, Roy Hodgson na kocha wa zamani wa timu hiyo pia, inayojulikana kama Three Lions, Fabio Capello kwamba huwa anajituma anapochezea Manchester United tu na si timu ya taifa. Pichani ni Rooney na mkewe, wakielekea Los Angeles, baada ya England kutolewa katika Euro 2012.

MATUKIO MBALIMBALI JANA MUHIMBILI WAKATI AKIFIKISHWA DK. ULIMBOKA AKIWA MAHUTUTI.

Madaktari wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam wakimpakia kwenye Gari Daktari Mwenzao aliepatwa na Mkasa wa Kutekwa Nyara na watu wasiojulikana na ambao walimjeruhi vibaya sana,Dk. Steven Ulimboka aliepatwa na mkasa huo usiku wa kuamkia jana huko katika msitu wa Mabwepande,jijini Dar. 

JOSE CHAMELEONE KUTUA BONGO KWA SHOO YA UWANJA WA TAIFA SIKU YA SABASABA.

Jose Chameleone.
Msanii wa Uganda, Jose Chameleone (pichani juu) leo amekamilisha taratibu zote za kusaini mkataba wa kufanya shoo kali Uwanja wa Taifa mpya, jijini Dar es salaam, siku ya sabasaba baada ya Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho, kutia timu Entebe mapema leo. Pichani chini ni Chameleone akijigamba

AUNT EZEKIEL KAHAMIA DAR.

 
Staa wa filamu nchini Tanzania, Aunty Ezekiel hayupo nchini kwa muda mrefu sasa na habari zinasema amepiga kambi Dubai, huko.
 
Uarabuni ambako anaendesha maisha yake ya kila siku.Kutoweka kwa msanii huyo kulijulikana wiki iliyopita kwenye uzinduzi wa filamu ya Wema Sepetu ya Super Star pale Hyatt Kilimanjaro Kempinsk Hotel, Dar es Salaam ambapo wadau wengi walihoji aliko msanii huyo kutokana na tabia yake ya kutokosa shughuli.

Wednesday, June 27, 2012

MANJI AWEKEWA PINGAMIZI TFF ASIGOMBEE YANGA.

Manji kulia, akiwa amechuchumamaa kumsalimu Bi Rukia, mwanachama maarufu wa Yanga.
Wakati kamati ya uchaguzi ya Shirikisho la soka Tanzania (TFF) inatarajiwa kuketi Julai 2 kwa ajili ya kupitia pingamizi zilizowasilishwa kwa wagombea uongozi wa klabu ya Yanga, wagombea wawili Yusuf  Manji na Stanley Yono Kevela wamewekewa pingamizi. 

GARETH BALE AJITIA KITANZI MIAKA MINNE WHITE HART LANE.

EPL, Gareth Bale, Tottenham Hotspur v Swansea City
Gareth Bale.
Klabu ya Tottenham imetangaza kwamba Gareth Bale amesaini mkataba mpya wa miaka minne, ambao utamuweka White Hart Lane hadi 2016, wameandika Goal.com. Mwanasoka huyo wa kimataifa wa Wales, kwa muda mrefu amekuwa akihusishwa na habari za kuhama klabu hiyo kwenda Manchester United na Barcelona ambazo ziliripotiwa kumtaka nyota huyo mwenye umri wa miaka  22. 

WANAFUNZI WATANO WAFARIKI NCHINI UGANDA BAADA YA MABWENI KUUNGUA MOTO.

Wanafunzi watano wameteketea kwa kuungua kwa moto nchini Uganda baada ya moto kuunguza mabweni mawili ya Leos Junior Academy katika manispaa ya Masaka.

MAPENZI NDANI YA BIG BROTHER YASABABISHA VITA BAINA YA WANANCHI WA KENYA NA NIGERIA.

Prezzo and Goldie.
Jana wapenzi katika jumba la Big Brother Africa, Prezzo na Goldie wamezinguana tena baada ya Prezzo kumwambia Goldie, “you are a quitter, you are a runner, run away like you always do.” Pia alimwambia kuwa hakukuwa na haja Goldie kumwokoa na eviction.
Ugomvi huo wa Prezzo kutoka Kenya na Goldie kutoka Nigeria umenunuliwa na wananchi wa Kenya na

HUU NI UKURASA WA TWITTER WA WEMA SEPETU, AKI TWEET KUHUSU MAANDALIZI YA KUOLEWA.

GAZETI LA ITALIA, LAMFANANISHA BALOTELLI NA KING KONG.

Balotelli-cartoon_2259839b
Balotelli King Kong Cartoon.
Mario Balotelli amejikuta katika kasheshe jingine la ubaguzi wa rangi baada ya gazeti la michezo linalouza na kusomwa zaidi nchini Italia kumfananisha na KING KONG (Gorilla).
Gazeti hilo la asubuhi ‘Gazzetta dello Sport’ lilichora picha ya Balotelli akiwa juu ya jengo refu kwa kuigiliza scene ya filamu ya King Kong alipokuwa amepanda kwenye jengo refu la New York la Empire State.

ADAM MCHOMVU APANGA KUISHITAKI KAMPUNI YA SIMU.

 
Mtangazaji wa Clouds Fm, Adam Mchomvu kaka Baba Jonii, amechukizwa na kitendo cha mtu anayejifanya mfanyakazi wa kampuni ya mtandao wa simu wa Tigo, kwa kufungua akaunti kwa jina lake facebook ambako hutumia umaarufu wake kutangaza masuala ya mtandao huo.

ALICHOKIANDIKA ZITTO KABWE KUHUSU DR ULIMBOKA KUTEKWA NA KUPIGWA.

.
.

PICHA 8 ZA SIMBA WALIVYOPASHA TCC CHANG'OMBE JANA.

Kocha wa Somba, Milovan Cirkovic akifuatilia mazoezi ya timu yake kwenye uwanja wa TCC, Chang'ombe jijini Dar es Salaam .

TOP 5 GOALS SO FAR (Euro 2012).


KOVA AZUNGUMZIA UTEKAJI WA DK. STEVEN ULIMBOKA.

Kamanda Kova .
Kamanda wa polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Kamanda Suleiman Kova akizungumza na waandishi wa habari kuhusu tukio la utekaji nyara na kujeruhi lililompata kiongozi mgomo wa Madaktari Steven Ulimboka anayedaiwa kutekwa na watu watano wakati akipata kinywaji katika klabu ya Leaders Kiondoni jijini Dar es salaam.

HIVI NDIVYO DR. ULIMBOKA ALIVYO KUTWA AMEUMIA VIBAYA.

Update ya maelezo ya mkasa uliomkuta Dkt. Ulimboka: Dkt. Helen Kijo-Bisimba wa LHRC akinukuliwa katika EA Redio amekariri maelezo ya Dkt. Ulimboka ambayo pia yamesikika yakitamkwa na mwenyewe (Dkt. Ulimboka Steven), kupitia kituo cha redio cha CloudsFM, kwamba walikuja watu watatu waliovalia kiraia na kujitambulisha kuwa wao ni askari. Watu hao walimchukua na kumuingiza katika gari lisilokuwa na

BEKI MPYA WA SIMBA MKONGO MASOMBO LINO AWAPAGAWISHA MASHABIKI TCC .

k
Masombo Lino kulia, baada ya kumpokonya mpira Kiggi kama alimuazima, akitaka kugeuka kusukuma mashambulizi, Uwanja wa TCC jana. Jamaa ni mzuri kwa kweli na Simba watamsahau Yondan.
BEKI wa Simba SC, Masombo Lino Masombo Lino kutoka Daring Club Motema Pembe kutoka ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), jana alikuwa kivutio kikubwa katika mazoezi ya klabu hiyo, Uwanja wa TCC, Chang’ombe, Dar es Salaam.

ALIYEWATUKANA ASHLEY YOUNG NA COLE KWENYE TWITTER AKAMATWA.

 

Haya ndio matusi ya kibaguzi ambayo bwana Steve raia wa Uingereza aliwatukana wachezaji wawili wa England ambao weusi Ashley Young wa Manchester United na Ashley Cole anayeichezea Chelsea.
Mtu huyo tayari ameshakamatwa na polisi nchini Uingereza na muda wowote atapelekwa mahakamami.


Tuesday, June 26, 2012

BODYGUARD WA RIHANNA AMTANDIKA NGUMI PAPARAZI.

 
Ilikuwa weekend ndefu kwa star wengi marekani na Rihaana alikuwa akimalizia weekend yake London maeneo ya Whiskey Mist Night Club  na paparazi walimsogelea sana Rihaana na Bodyguard wake kuona kama wanahatarisha maisha yake ndio akatoa kichapo kikali sana . Rihaana hakuona kilichotokea alikuwa tayari ameshaingia kwenye gari .

HII NDIO NYIMBO MPYA STELLA MWANGI.

 



HIVI NDIVYO TMK WANAUME PAMOJA NA BI CHEKA WALIVYOKAMUA DAR LIVE.

Wasanii wa kundi la Wanaume Family wakiongozwa na Mhe Temba, Chegge na Bi Cheka wakifanya makamuzi katika Tamasha la Wanaume Family Spesho lililofanyika Jumapili Juni 24, 2012 ndani ya ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam.

50 CENT APATA AJALI YA GARI JANA USIKU.


Rapper 50 CENT amepata ajali mbaya ya gari jana usiku huko Queens New York baada ya gari lake kugongwa na lori ambapo yeye na dereva wake walikimbizwa hospitali ya karibu kutibiwa, hakuna taarifa nyingine za ziada lakini blog yako ya kijanja iko karibu na inafatilia kikitokea chochote kipya utakifahamu kupitia hapa hapa.

MARADONA AIWANGIA ITALIA, ASEMA UJERUMANI YA SASA INATISHA.


Diego Maradona - Al Wasl Maradona.
Gwiji wa soka Argentina, Diego Maradona ametabiri kwamba Ujerumani inaweza kuifunga Italia katika Nusu Fainali ya Euro 2012 kesho.The Azzurri wamekuwa na matokeo mazuri dhidi ya Ujerumani siku za karibuni, kumbukumbu zaidi walipowafunga katika Kombe la Dunia mwaka 2006 mjini Dortmund.
Licha ya hivyo, Maradona anaamini kwamba kizazi kipya cha Die Mannschaft cha viungo makinda

MAFARAO, NYIGU WADOGO KUCHEZA NA NGORONGORO.

 

Thomas Ulimwengu, mshambuliaji wa Ngorongoro .


Timu ya soka ya taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 ya Tanzania, Ngorongoro Heroes itacheza mechi nne za kirafiki na timu za Misri na Rwanda kabla ya kuivaa Nigeria kwenye mashindano ya Afrika.
Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Boniphace Wambura Mgoyo amesema leo kwamba Ngorongoro Heroes ambayo kwa mara ya kwanza itakuwa chini ya kocha mpya

URUSI, HISPANIA ZAWEKWA KIKAANGONI KUFUATIA TUHUMA ZA UBAGUZI.

Shirikisho la soka barani Ulaya-UEFA imezifungulia mashtaka vyama vya soka vya Hispania na Urusi kutokana na matukio ya kibaguzi yaliyoonyeshwa na mashabiki wa timu zao za taifa katika michuano ya Ulaya inayoendelea nchini, Poland na Ukraine. Mashtaka hayo yamekuja kufuatia

NASRI HATARINI KUFUNGIWA MIAKA MIWILI.

 
Kiungo wa kimataifa wa Ufaransa, Samir Nasri huenda akafungiwa kucheza michezo ya kimataifa kwa miaka miwili baada ya kumshambulia mwandishi wa habari katika michuano ya Ulaya mwaka huu. Kiungo huyo alikwaruzana na mwandishi wa Ufaransa baada ya timu hiyo kung’olewa

UEFA YAIPIGA FAINI DFB.

 
Shirikisho la Soka barani Ulaya-UEFA limekipiga faini ya euro 25,000 Chama cha Soka cha Ujerumani-DFB kutokana na tabia isiyofaa iliyoonyeshwa na mashabiki wa timu ya taifa ya nchi hiyo wakati wa mchezo wa kundi B ambapo Ujerumani ilishinda mabao 2-1 dhidi ya Denmark Juni 17 mwaka huu. Mashabiki wa nchi hiyo walikuwa wakiwasha mafataki na

TFF YAMTAMBULISHA KOCHA MPYA WA VIJANA.

 

  Jakob Michelsen.
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemtambulisha rasmi leo mbele ya waandishi wa habari kocha mpya wa timu za Taifa za vijana, Jakob Michelsen kutoka Denmark ambaye amechukua nafasi ya Kim Poulsen ambaye hivi sasa anainoa Taifa Stars.

HII NDIO VIDEO MPYA YA DOGO ASLEY FT CHEGE - UMBEA.


GIROUD ATUA ARSENAL.





                                                                      Olivier Giroud.
Klabu ya Arsenal ya nchini Uingereza imefanikiwa kumnyakuwa mshambuliaji Olivier Giroud kutoka klabu ya Mintepellier kwa ada ya paundi milioni 12. Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 25 alikamilisha vipimo vya afya na kufuzu jana jioni na kuwa mchezaji rasmi wa klabu hiyo ambapo ataungana na nyota wengine kama Lucas Podolski ambaye nae amesaini msimu huu akitokea Ujerumani na Robin van Persie.

UEFA YATANGAZA WAAMUZI WA NUSU FAINALI EURO 2012.

 
Cuneyt Cakir.
Shirikisho la Soka barani Ulaya-UEFA limetangaza majina ya waamuzi watakaochezesha michezo ya nusu fainali ya michuano ya Ulaya itakayochezwa Jumatano na Alhamisi ya wiki hii. Mwamuzi Cuneyt Cakir kutoka Uturuki ndio anatarajiwa kuchezesha mchezo kati ya mabingwa watetezi wa michuano hiyo Hispania dhidi ya Ureno mchezo ambao unatarajiwa